www.ntv.co.ke Serikali mahuluti imetoa ahadi chungu nzima pamoja na kuanzisha mipango tofauti ya kuwasaidia vijana humu nchini ili kukabiliana na hali ya ukosefu wa ajira na kuongezeka kwa visa vya uhalifu. Masuala ya vijana ni mengi na kikao cha Gumzo Mitaani kilichokuwa Kibera, Laini Saba, kim...
(less)
www.ntv.co.ke Muda uliopewa mawaziri wawe wamerejesha magari yao ya kibwanyenye na kuanza kutumia magari aina ya VW Passat umemalizika leo (Jumatano) huku baadhi yao wakiwa bado wanasitasita. Suali ni je, watakaokataa kabisa kurejesha magari hayo ya kifahari watachukuliwa hatua chini ya sheria g...
(less)
Hamasisho kuhusu huduma za serikali kwa umma kupitia wizara zake mbalimbali linaendelea kutolewa katika makao makuu ya kila wilaya humu nchini. Hapa Nairobi hamasisho hilo linafanywa katika eneo la Jumba la KICC ambapo wananchi wanafahamishwa jinsi wanavyoweza kupata huduma za serikali bila matat...
(less)
www.ntv.co.ke Wakenya wanaendelea kutafakari kuhusu Kenya waitakayo kuhusiana na uraia wao na pia mambo ya ustawi. Mengi yamesemwa kuhusu azma ya serikali ya kutekeleza mageuzi katika sekta mbalimbali kwa ajili ya kuwanufaisha wananchi. Bila shaka kuna maoni mengi kuhusu suala hilo kama inavyodhi...
(less)
www.ntv.co.ke Mabadiliko yaliyofanyiwa katika idara ya polisi yanazidi kuchemsha hisia za watu.Baadhi wanasema imani yao kwa serikali inazidi kufifia huku wengine wakichukizwa na jinsi mabadiliko hayo yalivyofanywa. kwa mengi tujiunge na kikao cha leo cha gumzo mitaani. ... ntv kenya nairobi Gumz...
(less)
This is the trailer for the film Watoto wa Mitaani about street children in Iringa, Tanzania. The documentary was produced by the Liwalo na Liwe Foundation. You can access more information, including ordering information at www.liwalo.org ... "street children" tanzania "watoto wa mitaani" "liwal...
(less)
Safe Search Filter is ON. Truveo understands that some content may not be appropriate for all users. We provide a Safe Search Filter so that you can choose the content best suited to your personal interest. Turning OFF the Safe Search Filter may display content that is only suitable for viewers over 18 years of age. Click the button below if you are over 18 and would like to turn OFF the Safe Search Filter.